Text Size

Tamko la Maaskofu Katoliki Tanzania Kuhusu Ugonjwa wa Ukimwi (AIDS)

Tamko la Maaskofu Katoliki Tanzania Kuhusu Ugonjwa wa Ukimwi (AIDS)

 23 November 1987


 Utangulizi

 Katika historia ya Wokovu, Miwenyezi Mungu ametumia mara kwa mars matukio ya aina, mbali mbali ya kihistoria kudhihirisha uwepo wake, uwezo wake na madai yake juu ya Wanadamu. Matukio hayo ya kihistoria yanaweza..¬yakawa ya furaha na baral:a kwa watu (kwa mfano: ushindi katika vita dhidi ya ma dui wa taifa, mavuno mazuri, hali njema ya hewa au afya n.k.); ysnaweza pie. yakavia matukio ya maafa na mateso (kama vile maradhi,..utumwa wa taifa, matetemeko ya ardhi, njaa n.k.)

 Matukio hayo ya kihistoria sharti yaelereke na kuchukuliwa kama ishara za mwaliko wa Mungu,kwa wanadama kutskeleza matakwa yake. Kwa hahati mbaya, mara nyingi wanadamu wamejaribu kupambana kinyume cha matukio hayo bila kujali, kujiuliza na kuzingatia lengo la Mwenyezi Mungu katika kuyaruhusu matukio hayo. Hivi, badala ya kuuitika mwaliko wa Mungu, wamekwenda mbali zaidi na zaidi ya matakwa yake; wakachindwa kufaidi na madhumuni ya Mungu.

 Katika siku zetu, kuv:ezukca ugonjvra mbaya wa UKWIMI (AIDS) ambao ni tishio kubwa kwa his toria ya wanadamu. Na kama matukio mengine ya kihistoria ya siku za kale, buraamini kwamba nyuma ya ugonjwa huo mbaya ipo sauti ya mwaliko Ya Mwenyezi Mungu kwetu sisi wanadamu wa leo. Kwa hiyo, lililo la muhimu zaidi kwetu sisi, wanadamu hata kuliko kujiponya na maafa yanayotukmbili, ni kuutambua na kuuitika huo mwaliko wa Mwenyezi Mungu katika siku zetu.

 HISTORIA FUPI YA UKIMWI:

 Ili kujiepusha 'na lavrama ya kuwa chanzo cha janga hilo
la UKDL7I katika ulimwengu, kila taifa linajituhidi kulisukumia taifa jingine hiyo lawama. Ni mtindo ule tile wa tango dhambi ya asili ya wanadaruu: Adamu Anatupa lawama juu ya Mungu na juu ya mwanamke, naye Hawa anamsukumizia lawama nyoka asiyeweza wala kutaka kujutia kola (Taz.Mw.3:12-14) Kwa hiyo kwa mwisho hakuna aliye tayari kufanya kitubio cha kweli mbele ya Mungu.

 Inavyofahamika kijumla,.katika miaka ya 1980, huko California na New- York (Marekani ya Kaskazini), waligunduliwa watu wenye upungufu wa kinga ya asili mwilini dhidi ya magonjwa kinytune kabisa cha matazamio na ujuzi wa Waganga. Hao watu wote weriye tatizo hilo waligunduliwa pia kuwa "ha uhusiano we, aina moja au nyingine na visiwa vya HAWALI. Lakini kufanya uchunguzi zaidi, ilionekana kwamba chanzo kilikuwa katika nchi za Africa ya kati na historia ya matatizo hayo ikang'amuliwa. kurdi nyuma hadi miaka ya 1970 katika nchi hizo za Afrika ya Kati.

 Katika,Tanzania, ugonjwa huo umegunduliwa kwa mara ya kwanza huko mkoani Kagera mnamo mwaka 1983, baada ya vita vya Uganda. Sasa ugonjwa huo umeenea nchini pote kwa viwango vinavyoto¬fautiaua kati ya: a.silimia .moja (1%) na asilimia ishirini (20%) Kagera, Mwanza na Dar es Salaam zikiwa na viwango vya:juu zaidi.

 Ugonjwa huo pia umetapakaa katika nchi karibu zote za Ulimwengu kwa viwango mbali mbali pia. Kwa kifupi, UKIMWI ni tatizo la Ulimwengu mzima kwa siku hii ya leo.

 JINSI UKIMITI UNAVYOJIENEZA

 Zipo njia kuu mbali kwa ugonjva huo kujieneza kati ya watu: (i) Kua uhtu anf wa kimaumbile (sexual transmission) na (2) Kwa uchomaji na uingizaji wa viini vidoga vya ugonjwa (virus) katika damu ya mwanadamu: kwa mfano matumizi ya sindano zenye viini hivyo vya ugonjwa au kumpatia mtu dame yenye viini hivyo (blood transfusion).

 Hofu iliyozagaa kati ya watu kwambi kuumwa na mbu aliyevrahi. kufyonza damu ya mgonjvia wa UKIMWI, kugusa jasho, mate au mkojo via mgonjwa -huarlbiikiza UKIMWI haina msingi,,wowote wa kiganga. Hofu kama hiyo huwasababisha to jamaa, marafikina majirani wa wagonjwa washindwe kutekeleza wajibu wao mbele ya Mungu wa kuwahudurua wagonjwa wa UKIM'VI. Kushindwa katika wajibu huo kutataka maelezo ya.kuridhisha mbele ya kiti cha hukumu cha Mfalme wa Milele siku ya. mwisho (Taz.PMt.25:34-46).

 TINGA ZA KIMAADILI KWA UGONJWA WA UKIMWI

Kama tulivyosema hapo awali, jitihada za kujikinga na ugonjwa wa UKIMWI na kuuzuia udeneo zina maana kvretu sisi rraamini ' iwapo to zinatia maana i m,rlzo wa Mungu uliopo nyuma ya maafa haya ya kihistoria. Kutokara na namra ugonjwa huo unavyojieneza, tumeweza kutambua.pia wito wa aina mbili kutoka kwa Mungu:

1. Mto katika maisha ya 'Usafi wa Moyo' - yaani kuepukana na tabia zote za zinaa na uasherati - kama Mweriyezi Mungu anavyowadai watu note, kila mmoja ulingana na bali yake ya maisha. (Taz.Kutoka 20:13;.17arumi 1:24, 26-27)
 
2. "Tito wa kurra na moyo vra kujali, kuheshimu na kuthamini maisha ya wanadamu katika shughuli zote za tiba.
 
Kwa hiyo, ni imani yetu kwamba kiva njia ya ugonj:va huo mbaya, Mwenyezi Mungu anawadai vote wenye kufanya shughuli za tiba ya aina yo yote ile kuwa waangalifu wasitie damu ya mtu katika mwili wa mtu mwingihe bila kuhakikisha kabisa juu ya usalama wa hiyo damu; kuwa waangalifu zaidi juu ya usalama wa vyombo vyote vinavyotumika kugusa damu na sehemu za ndani za mwili wa mwanadamu.

 Kwa wengine vote, kujiepusha na tabia zote za uzinifu na uasherati jambo ambalo Kanisa lirnefurdisha daima kaina dai muhimu la Mwenyezi Mungu kwa watu vote - unapata piaa umuhimu wa kitibe. licha ya thamani yake kubwa ya kimaadili na kidini.

 MWISHO

Kwa vile kupatikana naa ugonjwa huo wa UKIMWI siyo lazima daima kutokana na koia la rngonjwa mwenyewe, ni sharti kuepukana na mawazo ya wahukumu ma kuwalaani wogonjrra; pia na tabia ya kukata tamaa na kupoteza.imaxii kwa Mungu kvia upande wa wagonjwa wenyewe. 

Hata kwa wale wezye kutambua kwamba ugonjwa unatokana na kosa lao wenyewe, hali yaa inapaswa kuchukulirra kama nafasi ya kitubio mbele ya Mungu wakikumbuka kwamba umaana wa maisha na kifo cha mtu ye yote yule unapatikana katika uwiano na mateso na kifo cha Kristu kilicho, na utimilifu wake katika Ufufuo na Uzima wa milele. Kwa hiyo, kwa mgonjwa kuamua kuueneza ugonjwa huo kusudi 'asife peke yake', siyo to kwamba kunakuwa na lawama ya moyo wa uuajini na uasherati, bali kunaharibu hata msingi wa mwisho wa kuyapatia maisha ya mgonjwa maana na umuhimu wake na hivi kifo chake kinapoteza manna kabisa ya kifo cha kibinadamu.
 
Kwa vile ugonjwa huo wa kihistoria ni sharti uchukuliwe kama mvialiko na mwito wa Mungu, jitihada za kujizuia na ugonjwa kvia matumizj ya vitu kama mipira (condoms), kutoa mimba za wanawake wenye ugonjwa n.k haziwezi zikakubalika kimaadili na kiimani. Njia kana hizo zinadhihirisha to ukaidi wa iianadamu dhidi ya mwito wa Mwenyezi Mungu.
 
Murigu peke yake anaweza kutufanya tuuitike mwito,wake kama atakavyo yeye. Kwa hiyo, katika janga letu hilo, ni kwa njia ya sala, sadaka, sakramenti na kitubio kwamba tutabaki katika uhusiano mwema na Mungu na kuwa salama pia kimwili.
 
+ Mhash. Ashofu anthony Mayala
Mwenyekiti